Hakuna wasomi wengine anaweza kusoma kwao zaidi ya Ahl-ul-Bid´ah

Swali: Mimi naishi kwenye nchi ambayo hakuna wanachuoni wa Ahl-us-Sunnah ambao naweza kujifunza elimu kutoka kwao. Je, inafaa kwangu kusoma baadhi ya elimu kutoka kwa Ahl-ul-Bid´ah hata kama ni mwenye kujilinda kwa Sunnah?

Jibu: Hapana. Utaathirika nao. Ukisoma elimu kutoka kwao utaathirika nao. Usisomi kwao. Hii leo kuwasiliana na wanachuoni imekuwa ni jambo rahisi na waulize mambo yenye kutatiza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18073
  • Imechapishwa: 03/08/2019