Swali: Baada ya kumaliza kuomba du´aa imewekwa katika Shari´ah kupangusa uso?
Jibu: Hapana. Haikuthibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Anyanyue mikono wakati wa kuomba du´aa na akimaliza aiteremshe pasi na kufuta uso wake.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (55) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16503
- Imechapishwa: 23/09/2017