Swali: Inajuzu kuita nchi ya kikafiri “nchi rafiki” au kumwita kafiri kuwa ni rafiki yangu?

Jibu: Hili halijuzu. Urafiki maana yake ni mapenzi. Hawi rafiki isipokuwa yule unayempenda. Hata hivyo ni sawa kusema nchi ya kiongozi au nchi ya mkataba. Ama kusema nchi rafiki haifai.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2106
  • Imechapishwa: 01/07/2020