Haijuzu kumfanyia uasi mtawala


Swali: Ni lini inajuzu kufanya uasi kwa mtawala na ni masharti yepi ya kumfanyia uasi?

Jibu: Ee ndugu! Haijuzu kufanya uasi kwa mtawala. Haijuzu kufanya uasi kwa mtawala kamwe. Lakini hata hivyo akikufuru kufuru ya wazi wazi, bay´ah yake inavunjika na anakuwa hana bay´ah. Ama kuhusu kufanya uasi kwa mtawala haijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (14) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_14.mp3
  • Imechapishwa: 14/06/2018