Hadiyth juu ya fadhilah za Suurah “Yaa Siyn”


Swali: Je, Hadiyth zilizothibiti juu ya fadhila ya Suurah “Yaa Siyn” ni Swahiyh?

Jibu: Hapana. Hakukuthibiti juu ya Suurah “Yaa Siyn” na kuisoma Hadiyth yoyote Swahiyh. Kilichothibiti ni kwamba inasomwa kwa ambaye anataka kuaga dunia, lakini hata hii haikuthibiti pia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13965
  • Imechapishwa: 14/04/2018