Du´aa al-Istiftaah inasomwa katika swalah za faradhi na sunnah


Swali: Du´aa al-Istifaah (ya kufungulia Swalah) inasomwa katika faradhi na Naafilah, au ni katika faradhi tu?

Jibu: Sunnah ni katika yote mawali, asome Du´aa al-Istifaah katika yote mawili faradhi na Naafilah. Hii ndio dhahiri ya Hadiyth ya Hadiyth kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Nuur ´alaad-Darb
  • Imechapishwa: 31/03/2018