Swali: Nilihitaji mkopo wa pesa na sikupata wa kunikopesha. Bwana mmoja akanambia kuwa atanikopa kwa dola kwa sharti nitalipa kwa SAR na akahesabu dola 1 kwa SAR 5 na kwamba nitalipa kwa awamu. Kama inavyotambulika dola…

Jibu: Usikamishe. Hii ni ribaa. Haijuzu. Ni ribaa. Haifa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21689/ما-حكم-من-اقترض-بالدولار-وسدد-بالريال
  • Imechapishwa: 16/09/2022