Bikira ambaye hakuingiliwa na mume wa kwanza kufunga ndoa nyingine


Swali: Akitalikiwa bikira kabla ya kuingiliwa, je itaandikwa katika ndoa yake ya mara ya pili kwa mume wa pili kuwa ni bikira au ni mwanamke ambaye kishaingiliwa?

Jibu: Ni bikira. Ikiwa hakumwingiliani bikira. Ndoa mpya aliyofanya ikiwa hakuingiliwa, haimtoi katika ubikira wake. Maadamu (mume huyo) hakumwingilia, atabaki katika ubikira wake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Nuur ´alaad-Darb
  • Imechapishwa: 31/03/2018