Swali: Ni ipi hukumu ya kuuza Qur-aan?

Jibu: Kinachotambulika kwa wanachuoni ni kusema ´kuuza msahafu` na hakusemwi kuuza Qur-aan. Ni kuuza msahafu. Kwa sababu msahafu ndani yake kuna makaratasi, uchapishaji na uandishi. Hakuna ubaya kuuza.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (10) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191426#219753
  • Imechapishwa: 17/05/2019