Baki na mama yako


Swali: Nataka kutafuta elimu nje ya mji wangu Ubelgiji. Mama yangu ameniacha nende kujifunza elimu. Mimi ndiye ndugu pekee ninayemsaidia mama yangu. Mama yangu ni mgonjwa na ni mwenye kunihitajia. Unaninasihi nini; nibaki hapa na mama yangu au nisafiri kwa ajili ya kusoma?

Jibu: Baki na mama yako. Mhudumie. Kwa sasa hilo ni bora kwako kuliko kusoma. Unaweza kusoma huko baadaye.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (66) http://alfawzan.af.org.sa/node/16524
  • Imechapishwa: 13/08/2017