Baba anamlazimisha mtoto wake kufanya naye kazi ya haramu

Swali 29: Ni ipi hukumu ya mwenye kulazimishwa kufanya kazi pamoja na baba yake katika yale aliyoharamisha Allaah (´Azza wa Jall)?

Jibu: Haijuzu. Si vinginevyo isipokuwa utiifu unakuwa katika mambo mema.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Tuhfat-ul-Mujiyb, uk. 70
  • Imechapishwa: 21/12/2019