Swali: Je, ni sahihi yale yanayonukuliwa katika baadhi ya tovuti kwamba Ashaa´irah ni katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah?

Jibu: Si sahihi. Ashaa´irah ni pote moja wapo katika Ahl-ul-Bid´ah. Lakini mtu anaweza kusema kuwa ni Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah katika yale waliyoafikiana na Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah kama zile sifa saba walizothibitisha. Vinginevyo sio katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Wao ni Ashaa´irah vivo hivyo. Lakini hata hivyo ndio pote lililo karibu na Ahl-us-Sunnah.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-Qaa´idah al-Marraakushiyyah (02)
  • Imechapishwa: 30/04/2020