Ameswali Maghrib Rak´ah nne kimakosa

755- Nilimuuliza Ahmad kuhusu mtu ambaye ameswali Maghrib Rak´ah nne kimakosa na amekumbuka hilo alipokuwa ameketi katika Tashahhud. Akajibu:

“Alete sijda mbili za kusahau. Hivyo swalah yake itakuwa yenye kukamilika.”

  • Mhusika: Imaam Abu Daawuud Sulaymaan bin al-Ash´ath as-Sijistaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad, uk. 160
  • Imechapishwa: 26/03/2021