Amechinja mbuzi mmoja kwenye ´Aqiyqah kwa sababu ya matatizo ya kichumi


Swali: Niliruzikiwa mtoto wa kiume mmoja ambapo nikamchinjia mbuzi mmoja kwa kuwa sikuwa na uwezo wa kumchinjia mbuzi wawili. Je, kitendo hichi kinakubalika Kishari´ah?

Jibu: Ndio. Hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (59) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-29-01-1438_0.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2017