al-Mughaamisiy na Taswawwuf


Swaalih al-Mughaamisiy amesema:

“Kuna Taswawwuf nzuri. Mimi nasema haya wazi wazi. Mimi hakuna kitu ninachoficha. Hii ni elimu ya Kishari´ah ambayo mtu anamuabudu Allaah kwayo. Ninakariri kwamba kuna Taswawwuf nzuri.”

Swali: Ni kweli kwamba kuna Taswawwuf nzuri na mbaya.

Jibu: Hapana. Taswawwuf aina zote ni mambo yamezushwa. Ikiwa unataka haki basi ni juu yako kulazimiana na Sunnah na kufuata Sunnah za Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=Bp_GBVYZyqs
  • Imechapishwa: 04/05/2018