al-Haqq ni jina la Allah?


Swali: Je, al-Haqq ni katika Majina ya Allaah (Ta´ala) kwa kuwa limethibiti katika Qur-aan:

Jibu: Je, al-Haqq ni katika Majina ya Allaah (Ta´ala) kwa kuwa limethibiti katika Qur-aan:

أَنَّ اللَّـهَ هُوَ الْحَقُّ الْمُبِينُ

“Allaah Ndiye Al-Haqqu [Mwenye kulipa kwa haki] iliyo bayana.”? (24:25)

Jibu: Haya ni maelezo kuhusu Allaah (Jalla wa ´Alaa). Amejieleza ya kwamba Yeye ni al-Haqq na wale wenye kuombwa badala Yake [´ibaada zao] ni batili. Hili ni kwa njia ya maelezo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_04.mp3
  • Imechapishwa: 30/06/2018