al-Fawzaan kuhusu mtu kugawa mirathi wakati wa haja ilihali bado yuhai


Swali: Je, inajuzu kwa mtu kugawa mirathi yake kuwagawia watoto wake ilihali yuko hai?

Jibu: Inajuzu. Akitenzwa nguvu juu ya kugawa kwa mujibu wa Shari´ah, mwanaume akampa mara mbili ya mwanamke na kila mmoja akampa fungu lake la Kishari´ah, hakuna neno kufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (67) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13854
  • Imechapishwa: 16/11/2014