Aina zote za mauaji


Swali: Mauaji yanayomfanya mtu kutorithi ni yale ya kukusudia au ni mauaji aina yote?

Jibu: Aina yote ya mauaji. Hafai kwake kurithi hata kama atashuhudia dhidi yake juu ya kisasi, kwa sababu yeye ndiye amesababisha kuuliwa kwake. Huku ni kufunga ile njia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (67) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah22-05-1438h.mp3
  • Imechapishwa: 18/10/2017