Adhaana sehemu ya kuswalia (Muswallaa)


Swali: Ni ipi hukumu ya adhaana sehemu za kuswalia kama vile kwenye masomo?

Jibu: Ni vizuri, hakuna neno. Midhali wanaswali mkusanyiko, waadhini, ni mamoja wako masomoni au kwenginepo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (81) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-1-3-1439-01.mp3
  • Imechapishwa: 17/02/2018