Swali: Je, madhehebu ya Ashaa´irah yamechukuliwa kutoka katika uelewa wa Abu Muusa al-Ash´ariy (Radhiya Allaahu ´anh)?

Jibu: Hapana. Abu Muusa al-Ash´ariy alikuwa ni Swahabah mtukufu. Hana lolote kuhusiana na madhehebu ya Ashaa´irah. Wanajinasibisha naye kwa sababu Abul-Hasan al-Ash´ariy anatokamana na kizazi chake. Ashaa´irah ni kabila la kiyemen.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (24) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathulmajid%207%20-%20… Toleo la: 22.05.2015
  • Imechapishwa: 11/02/2017