Zakaat-ul-Fitwr ya wasafiri kwa mtazamo wa Maalik


Nilimuuliza Ibn-ul-Qaasim Maalik anaoneleaje juu ya waafrika ambao wako nje ya nchi sku ya ´iyd; ni wapi wanatakiwa kutoa Zakaat-ul-Fitwr? Akasema:

“Wanapotaka, ndivo anavosema Maalik.”

Maalik amesema:

“Ni sahihi pia familia yake Afrika wakamtolea kwa niaba yake.”

  • Mhusika: Imaam Sahnuun bin Sa´iyd at-Tanuukhiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Mudawwanah al-Kubraa (1/110)
  • Imechapishwa: 04/05/2021