84. Yanayosemwa kwenye kikao

  Download

195-

Ibn ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa) amesema:

“Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akisoma mara mia moja yafuatayo kabla hajasimama:

رَبِّ اغْفِـرْ لي، وَتُبْ عَلَـيَّ، إِنَّكَ أَنْـتَ التَّـوّابُ الغَـفُورُ

“Mola nisamehe na nikubalie tawbah yangu, kwani hakika Wewe ni Mwingi wa kutubia na Mwingi wa kusamehe.”[1]

[1] at-Tirmidhiy na wengineo. Tazama ”Swahiyh-ut-Tirmidhiy” (03/153) na ”Swahiyh Ibn Maajah” (02/321). Tamko ni la at-Tirmidhiy.

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 03/05/2020