68. Du´aa wakati wa kukata swawm

  Download

176-

ذَهَـبَ الظَّمَـأُ، وَابْتَلَّـتِ العُـروقُ، وَثَبَـتَ الأجْـرُ إِنْ شـاءَ اللهُ

“Kiu kimeondoka, mishipa imelowana na ujira umethibiti – Allaah akitaka.”[1]

177-

اللّهُـمَّ إِنَّـي أَسْـأَلُـكَ بِرَحْمَـتِكَ الّتي وَسِـعَت كُلَّ شيء، أَنْ تَغْـفِرَ لِي

”Ee Allaah! Hakika mimi nakuomba kwa rehma Zako ambazo zimekienea kila kitu, unisamehe.”[2]

[1] Abu Daawuud (02/306) na wengineo. Tazama “Swahiyh-ul-Jaamiy´” (04/209).

[2] Ibn Maajah (01/557). Ni miongoni mwa du´aa za ´Abdullaah bin ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa). Haafidhw ameifanya kuwa nzuri katika ”Takhriyj-ul-Adhkaar”. Tazama ”Sharh-ul-Adhkaar” (04/342).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 02/05/2020