Download

166-

اللّهُـمَّ إِنَّـي أَسْـأَلُـكَ خَيْـرَها، وَأَعـوذُ بِكَ مِنْ شَـرِّها

”Ee Allaah! Hakika mimi nakuomba kheri yake na najilinda Kwako kutokamana na shari yake.”[1]

167-

اللّهُـمَّ إِنَّـي أَسْـأَلُـكَ خَيْـرَها، وَخَيْـرَ ما فيهـا، وَخَيْـرَ ما اُرْسِلَـتْ بِه، وَأَعـوذُ بِكَ مِنْ شَـرِّها، وَشَـرِّ ما فيهـا، وَشَـرِّ ما اُرْسِلَـتْ بِه

”Ee Allaah! Nakuomba kheri yake, kheri ya kilichomo ndani yake na kheri ya iliyotumwa ndani yake. Na najilinda Kwako kutokamana na shari yake, shari ya kilichomo ndani yake na shari iliyotumwa nao.”[2]

[1] Abu Daawuwd (04/326) na Ibn Maajah (02/1228). Tazama ”Swahiyh Ibn Maajah” (02/305).

[2] Muslim (04/76).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 01/05/2020