51. Dalili juu ya sura ya Allaah 6


51- Ismaa´îl bin al-´Abbaas al-Warraaq ametuhadithia: ´Aliy bin Harb ametuhadithia: Zayd bin Abiyz-Zarqaa’ ametuhadithia: Ibn Lahiy´ah ametuhadithia, kutoka kwa al-A´raj, kutoka kwa Abu Hurayrah aliyeeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Atapopiga mmoja wenu, basi ajiepushe na uso. Kwani sura ya mwanaadamu iko kwa mujibu wa sura ya Mwingi wa huruma (´Azza wa Jall).”

  • Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitaab-us-Swifaat, uk. 101-102
  • Imechapishwa: 04/04/2018