48. Dalili ya ishirini na tatu kutoka katika Sunnah juu ya mikono ya Allaah


50- Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akasema:

“Allaah alifunga mkataba kutoka kwenye mgongo wa Aadam. Baada ya kizazi chake chote kutoka mgongoni mwake akawatawanyisha mbele ya mikono Yake na akasema: “Je, mimi si Mola wenu?” Wakasema: “Ndio.”[1]

[1] al-Bayhaqiy katika ”al-Asmaa’ was-Swifaat” (714), Ahmad (1/172) na Ibn Abiy ´Aaswim (202).

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 34
  • Imechapishwa: 11/07/2019