47. Dalili juu ya sura ya Allaah 2


47- Ishaaq bin Muhammad bin al-Fadhwl az-Zayyaat ametuhadithia: Yuusuf bin Muusaa ametuhadithia: Jariyr ametuhadithia, kutoka kwa al-A´mash, kutoka kwa Habiyb bin Abiy Thaabit, kutoka kwa ´Atwaa’, kutoka kwa Ibn ´Umar aliyesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Usiukebehi uso. Kwani hakika Allaah (´Azza wa Jall) amemuumba Aadam kwa sura Yake.”

  • Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitaab-us-Swifaat, uk. 96-97
  • Imechapishwa: 01/04/2018