44. Du´aa wakati wa kuona mtu aliyepewa mtihani


182- Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Anayemuona mtu aliyepewa mtihani na akasema:

الْحَمْدُ الله الَّذِي عافاني مِمَّا ابْتَلاك به وفَضَّلني على كَثِيرٍ مِمَّنْ خَلَقَ تَفْضِيلاً

Himdi zote ni Zake Allaah ambaye Ameniepusha na kile Alichokupa mtihani na Akanifanya mimi kuwa bora kuliko wengi miongoni mwa Aliowaumba.”

hatopatwa na mtihani ule.”

  • Mhusika: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ul-Kalim at-Twayyib, uk. 112
  • Imechapishwa: 21/03/2017