Ushoga ni chukizo kwa mujibu wa Biblia


22Usikutane kimwili na mwanaume kama mtu akutanaye na mwanamke; hilo ni chukizo. 23Usikutane kimwili na mnyama na kujitia unajisi kwake. Mwanamke asijipeleke kwa mnyama ili kukutana naye kimwili; huo ni upotovu.
  • Mhusika: Biblia
  • Mfasiri: https://www.bible.com
  • Marejeo: Walawi 18:22-23
  • Imechapishwa: 21/11/2018