38. Safari ya kijeshi dhidi ya Banuu Sulaym


Baada ya siku saba yeye mwenyewe kwa nafsi yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akawashambulia Banuu Sulaym. Aliikaa huko kwa muda wa siku tatu kisha akarudi. Hakukutokea vita vyovyote. Wakati huo alimwacha Sibaa´ bin ´Urfutah kama khalifah huko al-Madiynah. Kuna maoni mengine yanayosema vilevile kwamba alikuwa ni Ibn Umm Maktuum.

  • Mhusika: Imaam Ismaa´iyl bin Kathiyr ad-Dimashqiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Fusuwl fiy Siyrat-ir-Rasuwl, uk. 54
  • Imechapishwa: 10/10/2018