33. Ni ipi hukumu ya swawm ya mtu ikiwa anaswali katika Ramadhaan tu?

Swali 33: Kuna mtu haswali isipokuwa Ramadhaan tu. Ni ipi hukumu ya swawm yake?

Jibu: Huyu ni kama vile hakuswali wala hakufunga.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 47
  • Imechapishwa: 12/06/2017