30. Aina ya saba majina ya haramu

7- Ibn-ul-Qayyim amesema:

“Majina ya shaytwaan kama Khanzab, al-Walhaan, al-A´war na Ajda´.” Tuhfat-ul-Mawduud, uk. 117. Baadhi ya majina hayo yamepokelewa katika Hadiyth dhaifu.

Kuna dalili katika Sunnah ya kubadilisha jina kama hilo.

  • Mhusika: ´Allaamah Bakr bin ´Abdillaah Abu Zayd
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Tasmiyat-ul-Mawluwd, uk. 25
  • Imechapishwa: 18/03/2017