al-Fawzaan kuhusu wanaharakati kama Khaalid ar-Raashid, al-´Ulwaan na wengineo wanaowakufurisha watawala


Swali: Wanawatukana watawala na wanasema kuwa watawale wamewatia jela wanachuoni na waja wema. Wanachuoni wanaowakusidia ni ´Abdul-´Aziyz at-Twurayfiy, Sulaymaan al-´Ulwaan[1] na Khaalid ar-Raashid.

al-Fawzaan: Achana nao. Usiingie nao wala usitatizike nao. Achana nao.

Muulizaji: Allaah akubariki. Lakini kuna watu wamedanganyika nao.

al-Fawzaan: Waambie wajiweke nao mbali na wanasihi wasiwasikilize. Allaah amewasalimisha.

[1] Tazama http://wanachuoni.com/islamic/mwache-al-ulwaan-afe/

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=rjg924pmsTw
  • Imechapishwa: 27/01/2018