31. Kinachofanywa kwa aliyeota ndoto nzuri au mbaya

  Download

114-

1- “Apulize kushotoni mwake” mara tatu[1].

2- “Aomba kinga kwa Allaah kutokamana na shaytwaan na kutokamana na shari ya kile alichokiota” mara tatu[2].

3- “Asimweleze yeyote.”[3]

4- “Ageuke kutoka ule ubavu aliokuwa amelalia.”[4]

5- “Aamke aswali akipenda kufanya hivo.”[5]

[1] Muslim (04/1772).

[2] Muslim (04/1772) (1773).

[3] Muslim (04/1772).

[4] Muslim (04/1773).

[5] Muslim (04/1773).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 28/04/2020