28. Du´aa wakati wa kusikia radi


129- ´Abdullaah bin az-Zubayr (Radhiya Allaahu ´anhu) alipokuwa akisikia radi huacha kusema na husema:

سُبْحَانَ الذي يُسَبِّحُ الرَّعْدُ بِحَمْدِهِ والْملائِكَةُ مِنْ خِيفَتِهِ

“Ametakasika yule ambaye radi zinamtakasa kwa himdi Zake na Malaika pia kwa kumuogopa.”

  • Mhusika: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ul-Kalim at-Twayyib, uk. 87-88
  • Imechapishwa: 21/03/2017