29. Du´aa unapojigeuzageuza usingizini usiku

  Download

112-

لا إِلـهَ إِلاّ اللهُ الـواحِدُ القَهّـار، رَبُّ السَّـمواتِ وَالأرْضِ وَما بَيْـنَهـما، العَزيـزُ الغَـفّار

”Hapana mungu wa haki isipokuwa Allaah, Mmoja pekee, Mshindi Mwenye kudhibiti, Mola wa mbingu na ardhi na yaliyomo kati yake, Mwenye nguvu kabisa Asiyeshindika, Mwingi kusamehe.”[1]

[1] Aseme hivo pindi atapojigeuzageuza huku na kule usiku. Ameipokea al-Haakim ambaye ameisahihisha na adh-Dhahabiy akaafikiana naye (01/540), an-Nasaa´iy katika “‘Amal-ul-Yawm wal-Laylah (864) Ibn-us-Sunniy. Tazama “Swahiyh-ul-Jaamiy’” (04/213).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim