Swali: Baba yangu anaishi Ufaransa. Je, inajuzu kwake kumuwakilisha mtu akatoa kafara ya chakula na Zakaat-ul-Fitwr katika nchi yake Marocco?
Jibu: Ndio, amteue mtu amtolee kafara ya chakula katika nchi yake. Hakuna neno. Inafaa vilevile kutoa Zakaat-ul-Fitwr kuwapa mafukara katika nchi yake. Hakuna neno.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Liqaa’ Ramadhwaaniy Maftuuh 1437-09-20 http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/L-20-09-1437-01_01_0.mp3
- Imechapishwa: 23/06/2017
Swali: Baba yangu anaishi Ufaransa. Je, inajuzu kwake kumuwakilisha mtu akatoa kafara ya chakula na Zakaat-ul-Fitwr katika nchi yake Marocco?
Jibu: Ndio, amteue mtu amtolee kafara ya chakula katika nchi yake. Hakuna neno. Inafaa vilevile kutoa Zakaat-ul-Fitwr kuwapa mafukara katika nchi yake. Hakuna neno.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Liqaa’ Ramadhwaaniy Maftuuh 1437-09-20 http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/L-20-09-1437-01_01_0.mp3
Imechapishwa: 23/06/2017
https://firqatunnajia.com/20766-2/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)