19. Maneno ya Sa´iyd bin Abiy Hilaal kuhusu mikono ya Allaah

18- Imesihi kwamba Sa´iyd bin Hilaal amesema:

“Imenifikia kwamba kitu cha kwanza kilichoteremshwa kutoka kwa Allaah kwenda kwa Muusa ilikuwa ni: “Kwa jina la Allaah, Mwingi wa huruma, Mwenye kurehemu. Haya yameandikwa na Allaah kwa mkono Wake kwenye Ubao kwenda kwa mja Wake Muusa.”

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 21
  • Imechapishwa: 25/06/2019