7- Kuritadi. Ni kwa sababu ya kule kupingana kwake na  ´ibaadah. Pia kutokana na maneno Yake (Ta´ala):

لَئِنْ أَشْرَكْتَ لَيَحْبَطَنَّ عَمَلُكَ

“Ukifanya shirki bila shaka yataporomoka matendo yako.”[1]

[1] 39:65

  • Mhusika: Nukhbatin minal-´Ulamaa´
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fiqh-ul-Muyassar, uk. 158
  • Imechapishwa: 26/04/2020