Download

Aanze kuingia kwa mguu wake wa kushoto[1] kisha aseme:

بِسْمِ اللَّهِ وَالصّلَاةُ وَالسَّلَامُ عَلَى رَسُولِ اللَّهِ، اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ مِنْ فَضْلِك، اللَّهُمَّ اعْصِمْنِي مِنَ الشَّيْطَانِ الرَّجِيمِ

“Kwa jina la Allaah. Swalah na salaam zimwendee Mtume wa Allaah. Ee Allaah! Hakika mimi nakuomba kutoka katika fadhilah Zako. Ee Allaah! Nikinge mimi kutokamana na shaytwaan aliyefukuzwa mbali na rehema za Allaah.”[2]

[1] al-Haakim (01/218), al-Bayhaqiy (02/442). Ni nzuri kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “as-Swahiyhah” (05/624) nambari. 2478.

[2] Tazama mapokezi ya upokezi uliotangulia katika du´aa ya kuingia msikitini nambari. (20). Nyongeza isemayo:

“Nikinge mimi kutokamana na shaytwaan aliyefukuzwa mbali na rehema za Allaah.”

imepokelewa na Ibn Maajah. Tazama “Swahiyh Ibn Maajah” (01/129).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 01/09/2018