114. Du´aa anayosema muislamu anaposifiwa

  Download

232-

اللَّهُمَّ لَا تُؤاَخِذْنِي ِبَما يَقُولُونُ، وَاغْفِرْ لِي مَالا يَعْلَمُونَ [وَاجْعَلْنِي خَيْراً مِمَّا َيظُنُّونَ]

“Ee Allaah! Usinichukulie kwa yale wanayoyasema, nisamehe kwa yale wasiyoyajua [na nifanye bora kuliko wanavyonidhania.]”[1]

[1] al-Bukhaariy katika ”al-Adab al-Mufrad” (761). al-Albaaniy amesahihisha cheni ya wapokezi wake katika ”Swahiyh al-Adab al-Mufrad” (585). Yaliyo kati ya mabano ni ziada ya al-Bayhaqiy katika ”Shu´ab-ul-Iymaan” (04/228) kupitia njia nyingine.

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 07/05/2020