Zakaat-ul-Fitwr ya wasafiri kwa mujibu wa Maalik

Nilimuuliza Ibn-ul-Qaasim maoni ya Maalik juu ya waafrika walio nje ya nchi siku ya Fitwr; ni wapi wanatakiwa kuto Zakaat-ul-Fitwr? Akasema:

“Pale wanapotaka,” ndivo anavosema Maalik.

Maalik amesema:

“Inasihi vilevile familia yake Afrika wakatoa kwa niaba yake.”

  • Mhusika: Imaam Sahnuun bin Sa´iyd at-Tanuukhiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Mudawwanah al-Kubraa (1/11o)
  • Imechapishwa: 01/05/2022