103. Du´aa ya msafiri mwishoni mwa usiku kabla ya kuchomoza alfajiri

  Download

215-

سَمِـعَ سـامِعُ بِحَمْـدِ اللهِ وَحُسْـنِ بَلائِـهِ عَلَيْـنا. رَبَّنـا صـاحِبْـنا وَأَفْـضِل عَلَيْـنا عائِذاً باللهِ مِنَ النّـار

”Amesikia msikilizaji kuhimidiwa kwa Allaah, uzuri wa majaribio Yake juu yetu.  Mola wetu kuwa pamoja nasi na tufadhilishe hali ya kuwa tunajilinda kwa Allaah kutokamana na Moto.”[1]

[1] Muslim (04/2086).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 05/05/2020