10. Hadiyth “Hakuna mja yeyote atakayefunga… “

987- Abu Sa´iyd (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Hakuna mja yeyote atakayefunga siku moja katika njia ya Allaah (Ta´ala) isipokuwa Allaah atauweka mbali uso wake na Moto kwa ajili ya siku hiyo moja miaka sabini.”

Ameipokea al-Bukhaariy, Muslim, at-Tirmidhiy na an-Nasaa´iy.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (01/580)
  • Imechapishwa: 29/05/2018
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy