09. Wanapenda mitandao ya kisiri


09- Wanapenda mitandao ya kisiri kwa aina ya vyama vya kitamaduni, vyama vya kimazoezi na mambo ya khatari bali hata kupitia masomo ya Qur-aan ambayo yanatakiwa kuadhimishwa ili isije kuwa stara inayotumiwa na watu wenye vitimbi na wafanya khiyana. Katika hayo yote yaliyotajwa wametumia fursa kwa wale watu wenye kupenda mambo ya kheri wanaosimamia matukio haya.[1]

[1] Imaam Swaalih al-Fawzaan amesema:

“Kijitabu hichi kilichoko mbele yetu kimeandikwa na ndugu yetu Shaykh Zayd bin Muhammad bin Haadiy al-Madkhaliy. Kinatahadharisha mifumo hii, kinabainisha athari zake mbaya na kinahimiza kushikamana barabara na mfumo wa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Allaah amjaze kheri na anufaishe kwa nasaha na maelekezo yake.” (Asbaab Istiqaamat-ish-Shabaab wa Bawaa´ith Inhiraafihim, uk. 7)

  • Mhusika: ´Allaamah Zayd bin Muhammad al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Asbaab Istiqaamat-ish-Shabaab wa Bawaa´ith Inhiraafihim, uk. 19
  • Imechapishwa: 25/03/2017