102- Waathilah bin al-Asqaa´ ameeleza kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Si katika sisi yule asiyewahurumia wadogo wetu na akawatukuza wakubwa wetu.”[1]

Ameipokea at-Twabaraaniy kupitia kwa Ibn Shihaab kutoka kwa Wahitlah ambaye hakusikia kutoka kwake.

[1] Swahiyh kupitia zengine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/152)
  • Imechapishwa: 02/05/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy