06. Hadiyth “Haitovuka miguu ya mwanadamu siku ya Qiyaamah mpaka… “

128- Ibn Mas´uud (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Haitovuka miguu ya mwanadamu siku ya Qiyaamah mpaka aulizwe juu ya mambo matano: umri wake aliuteketeza katika mambo gani, ujana wake aliutumia vipi, mali yake aliipata kivipi na akaitumia wapi na mwili wake aliutumia vipi na alifanya nini kwa yale aliyojifunza?”[1]

Ameipokea at-Tirmidhiy na al-Bayhaqiy.

[1] Nzuri kupitia zengine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/163)
  • Imechapishwa: 05/05/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy