Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kuchotwa damu ilihali amefunga katika Ramadhaan?

Jibu: Mfano wa kitu kama hicho hakiharibu swawm. Bali kinasamehewa. Kwa sababu ni katika mambo yanayopelekea katika haja. Sio miongoni mwa mambo yanayofunguza yanayotambulika katika Shari´ah takasifu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ashyaa´ laa tufsid-is-Swawm, uk. 07
  • Imechapishwa: 29/03/2021