05. Wanaona ni sawa kudanganya kwa ajili ya maslahi ya Da´wah


5- Hawajiepushi na uongo unaowachafua watu. Wanaona kuwa mwenendo kama huo unanufaisha katika mfumo wao. Kwa ajili hiyo wao kwao wanaona ni sawa kwa viongozi na wafuasi wao kusema uongo[1].

[1] Imaam Swaalih al-Fawzaan amesema:

“Kijitabu hichi kilichoko mbele yetu kimeandikwa na ndugu yetu Shaykh Zayd bin Muhammad bin Haadiy al-Madkhaliy. Kinatahadharisha mifumo hii, kinabainisha athari zake mbaya na kinahimiza kushikamana barabara na mfumo wa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Allaah amjaze kheri na anufaishe kwa nasaha na maelekezo yake.” (Asbaab Istiqaamat-ish-Shabaab wa Bawaa´ith Inhiraafihim, uk. 7)

 

  • Mhusika: ´Allaamah Zayd bin Muhammad al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Asbaab Istiqaamat-ish-Shabaab wa Bawaa´ith Inhiraafihim, uk. 19
  • Imechapishwa: 25/03/2017