05. Ni ipi hukumu ya kufunga mpaka wakati wa daku?

Swali 05: Ni ipi hukumu ya kufunga mpaka wakati wa daku? Je, Maswahabah walifanya hivo?

Jibu: Inajuzu kufunga mpaka wakati wakati wa daku.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 21
  • Imechapishwa: 12/06/2017